About This Message
Karibu katika ujumbe huu wenye mafundisho ya kina kuhusu kanuni za Kibiblia za mafanikio ambazo watu wengi huzipuuzia. Katika video hii tunajifunza kwamba mafanikio ya kweli hayawezi kujengwa juu ya juhudi pekee, bali juu ya msingi sahihi wa kiroho, tabia njema, na kusudi la Mungu kwa maisha yetu. Tutazungumzia: * Umuhimu wa kusudi katika maisha * Nguvu ya Neno la Mungu katika kujenga mafanikio * Tabia na uadilifu kama msingi wa ukuaji wa kudumu * Sacrifice na kujitoa kwa ajili ya maono * Bidi
By Patrick Seuya · Published May 11, 2026




