All Posts
Every teaching from Patrick Seuya — 68 posts and counting.

Growing Up Spiritually Ep 09

Awakening the Fire of True Worship KCMC Part III

AWAKENING THE FIRE OF TRUE WORSHIP PART II

AWAKENING THE FIRE OF TRUE WORSHIP KCMC PART I

Growing Up Spiritually Ep 08
Katika video hii, Patrick Seuya anafundisha nguvu ya meditation ya Neno la Mungu na jinsi mazingira, mawazo, na kile tunachokitafakari vinaweza kubadilisha maisha yetu. Kupitia mifano ya maisha yake binafsi, familia yake, na watu waliomzunguka, utaelewa jinsi scripture meditation inavyoleta progress, perspective, na transformation ya kweli katika maisha ya kila siku. ⏱️ CHAPTERS 00:00 Intro 00:27 Scripture Meditation (One of My Secrets) 02:06 Mfano Kutoka Kwa Baba Yangu 02:59 Mimi na Mke Wangu

Growing Up Spiritually Ep. 7
Katika somo hili tunajifunza nguvu ya kutafakari Neno la Mungu na namna meditation ya kiroho inavyoweza kubadilisha mawazo, hisia, na maisha ya mtu. Tunagundua jinsi muda wa utulivu mbele za Mungu unavyojenga focus, amani, na ukaribu wa kweli na Mungu. --- 🔗 **FOLLOW PATRICK SEUYA** Instagram: 👉 [Instagram](https://www.instagram.com/patrickseuya?igsh=YWZrejkxcXd5NHlp&utm_source=chatgpt.com) TikTok: 👉 [TikTok](https://www.tiktok.com/@patrickseuya?_r=1&_t=ZM-91GVZMqDkCJ&utm_source=chatgpt.c

Kanuni za Kibiblia za Mafanikio Ambazo Watu Wengi Huzipuuzia. CASFETA JOINTMASS BAGAMOYO
Karibu katika ujumbe huu wenye mafundisho ya kina kuhusu kanuni za Kibiblia za mafanikio ambazo watu wengi huzipuuzia. Katika video hii tunajifunza kwamba mafanikio ya kweli hayawezi kujengwa juu ya juhudi pekee, bali juu ya msingi sahihi wa kiroho, tabia njema, na kusudi la Mungu kwa maisha yetu. Tutazungumzia: * Umuhimu wa kusudi katika maisha * Nguvu ya Neno la Mungu katika kujenga mafanikio * Tabia na uadilifu kama msingi wa ukuaji wa kudumu * Sacrifice na kujitoa kwa ajili ya maono * Bidi

Growing Up Spiritually EP06
Kazi kubwa zaidi unayohitaji kufanya ili uweze kuwa na muda wa utulivu na Mungu iko ndani ya nafsi yako. Nafsi ikinyamaza na kutulia, inatoa nafasi kwa roho yako kumsikia Mungu kwa kina na kutafakari Neno lake. Mtunga Zaburi anasema: “Hakika nimeituliza nafsi yangu na kuinyamazisha, kama mtoto aliyeachishwa kunyonya alivyo kwa mama yake; nafsi yangu ndani yangu ni kama mtoto aliyeachishwa kunyonya.” — Zaburi 131:2 (SUV) Hii ni picha yenye nguvu ya utulivu wa ndani—sio tu ukimya wa nje, bali na

UTUKUFU WA MAHALI PA SIRI UDSM Mabibo Christian Fellowship
Kuna mahali pa siri pa Mungu na ameturuhusu kupitia dhabihu ya Yesu Kristo kuweza kukaa hapo. Kuna utukufu wa mahali pa siri. Kuna uvuli wa Mungu anaoahidi kuwa tutatembea nao kama tutakaa mahali pa siri.

Jinsi Mifumo Itakavyokusaidia Kufanikiwa UDSM Casfeta Tayomi.
Mtu mwenye uwezo wa kawaida ila ana mifumo ataenda mbali kwenye maisha kuliko mtu mwenye uwezo mkubwa asiye na mifumo. Ni mifumo gani binafsi unayoweza kujenga kwenye maisha yako ili kukuongezea ufanisi? Mifumo ni nini? Kuna ufahamu utakaobadilisha maisha yako kwenye somo hili. Twende pamoja.

Growing Up Spiritually Ep. 5
Katika ujumbe huu wenye nguvu, Patrick Seuya anaongelea kitu ambacho wengi wetu tunapitia bila hata kugundua — kupoteza uwezo wa kuwa present na kupungua kwa attention span, hasa kutokana na matumizi ya social media. Kutoka kwenye distractions za kila siku hadi athari zake kwenye maisha ya kiroho, ujumbe huu unakuchallenge ujiulize: *Unasikiliza kweli? Au una-scan tu?* Anatoa mfano wa jinsi watu walivyokuwa wakimsikiliza Yesu kwa muda mrefu bila kuchoka, na kulinganisha na hali ya sasa ambapo

Growing Up Spiritually Ep.4
Katika dunia ya leo, uhusiano wa kweli hauji kwa bahati—unahitaji makusudi. Katika kipindi hiki cha podcast, Patrick Seuya anazungumzia maana ya “Connection Requires Intentionality”—kwamba kuwa karibu na Mungu peke yake haitoshi; kile kinachobadilisha maisha ni uhusiano wa makusudi unaojengwa kwa nia, umakini na kujitoa. Utajifunza: • Kwa nini uwepo pekee hautoshi bila connection • Jinsi ya kujenga mahusiano na Mungu yenye maana na ya kudumu. • Hatua za vitendo za kuwa na uhusiano ulio hai

An Approved Worker (Mtenda Kazi Anayekubalika) TAFES DAR& PWANI DTS 2026.
Paulo anamkumbusha Timotheo kuwa ajitahidi kujionyesha kuwa mtenda kazi aliyekubalika mbele za Mungu. Hii inatufundisha kuwa siyo tu kwamba kuna kazi ya kufanya, bali pia kuna viwango (standards) vinavyopaswa kufikiwa. Vilevile, inadhihirisha wazi kuwa wapo watenda kazi wanaokubalika na wasiokubalika. Kupitia somo hili, utajifunza sifa muhimu za mtenda kazi anayekubalika, wajibu wake katika utumishi, pamoja na changamoto anazopaswa kuzitarajia na jinsi ya kuzishinda. Pia utafunuliwa namna ya ku

WHO ARE YOU?
Siku utakayopata majibu ya swali hili ndio siku utakayoanza kuishi hapa duniani.

The School of Christ (Shule ya Kristo)
An in-depth exploration of Jesus's life as an educational model. Patrick examines Christ's teaching methods, His effectiveness as a mentor, the spiritual disciplines He practiced, and the enduring power His teachings hold today. A masterclass on learning from the Master.

Growing Up Spiritually Ep. 3
"Presence Isn't Enough" — contrasting Martha and Mary, Patrick emphasizes that connection with Jesus matters more than mere attendance. It's not enough to be in the room; you must be engaged with the One who is speaking.

Kizazi Cha Nuru: TAFES KIUT
"Generation of Light" — recorded at TAFES KIUT, this message challenges young people to become a light of influence through the Holy Spirit's power and transformation in daily Christian living.

Growing Up Spiritually Ep. 2
Episode 2 addresses the importance of stillness for spiritual growth amid life's noise and stress. In a culture of constant busyness, Patrick teaches how to cultivate inner quiet — the soil in which deep spiritual roots grow.

Growing Up Spiritually Ep. 1
The first episode of Growing Up Spiritually examines spiritual maturity through biblical examples. Patrick highlights how our priorities and daily decisions shape our spiritual development, drawing from key Scriptures to illustrate the journey from spiritual infancy to maturity.

Mwamini au Mwanafunzi?
Believer or Disciple? There is a crucial difference. Patrick draws a sharp line between passive belief and active discipleship — challenging every Christian to move beyond mere agreement to wholehearted following.

On Fire for Spiritual Growth
Patrick emphasizes investing time in God's Word as essential for spiritual growth. Without the Word as fuel, spiritual fire eventually dies out. Learn how to build a sustainable habit of engaging with Scripture daily.

Fire Conference 2026: Moshi Universities Edition
The full recording of Fire Conference 2026 — Moshi Universities Edition. A powerful gathering of university students coming together for worship, teaching, and spiritual fire. Nearly two hours of transformative content.

Sukuma Mipaka Yako
"Push Your Boundaries" — a challenging message about breaking through self-imposed limitations. Patrick shows how faith, courage, and obedience expand the borders of what you thought was possible.

Fire Conference 2026 — Moshi Universities Promo
A quick promo announcing the Moshi Universities edition of Fire Conference 2026. Let's goooo!

Fire Conference 2026
The official promo for Fire Conference 2026. Get a glimpse of what's coming — a gathering designed to ignite the next generation with spiritual passion and purpose.

Umeshawahi Kuwa Single?
Have you ever been single? Patrick discusses how to use singleness constructively — not as a waiting room, but as a preparation ground. Build yourself, know God, and get ready for a healthy partnership.

Why You Need to Desire Spiritual Growth
Growth doesn't happen by accident — it starts with desire. Patrick makes the case for intentional spiritual development, exploring why desire is the first and most critical ingredient for maturity.

Njia 3 za Kuishinda Hofu
3 ways to overcome fear. Patrick breaks down the spiritual and practical strategies for conquering the fear that paralyzes potential — including faith declarations, community, and action despite fear.

The Spirit of Excellence (Roho ya Ubora)
The spirit of excellence distinguished Daniel in Babylon. Patrick teaches how Christians should operate with a spirit of excellence — not for human praise, but because our God deserves our very best.

Unahitaji Muendelezo ili Uone Matokeo
You need consistency to see results. Patrick teaches that breakthroughs come not from one-time efforts but from relentless, faithful continuation. The difference between those who make it and those who don't is persistence.

Kanuni 5 Zitakazobadilisha Maisha Yako (Part 2)
Part 2 completes the 5 life-changing principles. Patrick covers relationships, stewardship, and spiritual consistency — the principles that sustain transformation long after the initial motivation fades.

Jabez: The Game Changer
The prayer of Jabez changed everything. Patrick examines this short but revolutionary prayer from 1 Chronicles 4:10, showing how bold, specific prayer can reshape your destiny.

Vitu 6 vya Kuzingatia Unapoweka Malengo ya 2026
6 things to consider when setting your 2026 goals. Patrick's most-viewed teaching — a comprehensive guide to setting meaningful, God-honoring goals that align with your purpose and calling.

Kanuni 5 Zitakazobadilisha Maisha Yako (Part 1)
Part 1 of a powerful two-part message on the 5 principles that will transform your life this year. Patrick lays the foundation with the first principles — covering mindset, discipline, and purpose as the starting blocks for change.

Identity Crisis: Wewe ni Nani?
Who are you? Patrick confronts the identity crisis facing this generation. When the world, social media, and culture try to define you, only God's Word can tell you who you truly are.

The Power of Today
Today is the most powerful day you have. Patrick challenges the habit of procrastination and "someday" thinking, teaching that the decisions you make today determine the life you live tomorrow.

Mambo 5 ya Kujifunza Kutoka kwa Charlie Kirk
5 things to learn from Charlie Kirk. Patrick draws practical leadership and faith lessons from the young conservative leader's journey — boldness, conviction, and the courage to stand for truth.

Namna ya Kuishinda Tabia ya Kuahirisha Mambo
How to overcome the habit of procrastination. A practical, no-nonsense guide to beating the delay that steals your potential. Patrick shares strategies rooted in discipline and spiritual urgency.

Imani Haidanganyi, Ikiwepo Utajua
Faith doesn't lie — when it's present, you'll know. Patrick teaches how genuine faith manifests visibly in a believer's life through boldness, peace, and supernatural results.

Imani Inakujaje?
How does faith come? Patrick explores Romans 10:17 and beyond, unpacking the practical mechanisms through which genuine faith is built — hearing the Word, obedience, and tested trust.

Dalili za Mkristo Asiye na Imani
What are the signs of a Christian without faith? Patrick identifies the subtle markers that reveal a faith deficit — from prayerlessness to anxiety — and offers a path back to bold, living trust in God.

Nidhamu za Kiroho na Imani Yenye Matokeo
Connecting spiritual disciplines to faith that produces results. Patrick teaches that faith isn't wishful thinking — it's the product of consistent spiritual habits: prayer, fasting, study, and obedience.

SET ME ON FIRE — The Documentary
The official Set Me On Fire documentary captures the story behind the movement — from its humble beginnings to the lives it has transformed. See testimonials, behind-the-scenes moments, and the heart behind it all.

SET ME ON FIRE | 13 October 2025
Another powerful Set Me On Fire session. Patrick brings fresh fire and urgency to the call of following Christ wholeheartedly in every area of life.

Kitu Kigumu Zaidi Kumpa Mungu
What is the hardest thing to give to God? Patrick Seuya explores the areas of surrender that believers struggle with most — comfort, control, and the will — and how releasing them unlocks breakthrough.

Set Me On Fire | 26 September 2025
The hardest thing to give God is explored in this powerful session. Patrick challenges listeners to surrender the areas they've held back, unlocking a new level of spiritual freedom.

Set Me On Fire | 23 September 2025
Patrick continues the Set Me On Fire journey, unpacking the cost and reward of radical devotion. This session challenges comfortable Christianity and calls for genuine transformation.

SET ME ON FIRE | 17 September 2025
A special Set Me On Fire session where Patrick explores the deeper dimensions of consecrated living. What does it look like to be set apart in a world full of compromise?

SET ME ON FIRE | Episode 04
Episode 4 tackles the practical side of spiritual fire — how to maintain momentum when life gets busy. Patrick shares actionable steps for keeping your relationship with God at the center of everything.

SET ME ON FIRE | Episode 03
In this episode, Patrick addresses the obstacles that quench spiritual fire. Learn to identify and overcome the distractions, fears, and complacency that hold you back from your full potential in God.

SET ME ON FIRE | Episode 02
Episode 2 continues building the fire. Patrick dives deeper into what it means to live with spiritual intensity, exploring the daily habits and heart posture that sustain a burning passion for Christ.

SET ME ON FIRE | Episode 01
The very first episode of Set Me On Fire. Patrick Seuya launches the series with a powerful call to ignite your faith and pursue God with everything you have. This foundational episode sets the tone for the entire journey ahead.

Nidhamu za Kiroho
A foundational teaching on spiritual disciplines — prayer, fasting, study, solitude, and more. Patrick lays out the practices that every serious believer must build into their daily rhythm to grow in faith.

Jiungamanishe na Nguvu Itakayokupeleka Kwenye Hatma Yako
Align yourself with the power that will take you to your destiny. Patrick teaches about connecting with the right spiritual, relational, and mental forces that propel you toward God's purpose for your life.

Ukuaji wa Kiroho
A comprehensive teaching on spiritual growth. Patrick outlines the stages, signs, and strategies of genuine spiritual development — from new birth to maturity in Christ.

Namna ya Kuinuka na Kuikabili Hatma Yako
How to rise up and face your destiny. Patrick delivers a motivating message about overcoming setbacks, stepping into courage, and confronting the calling God has placed on your life.

Alipo Roho wa Bwana Kuna Uhuru
Where the Spirit of the Lord is, there is freedom. A short but potent Kitchen Table reflection on 2 Corinthians 3:17.

Unapenda Anachokipenda?
Do you love what He loves? A Kitchen Table challenge to align your passions with God's heart — to care about what He cares about, grieve what grieves Him, and celebrate what delights Him.

Hakuna Vita Isiyo na Wahanga
There is no battle without casualties. Choose your battles wisely. A Kitchen Table reflection on the cost of every fight and the wisdom of strategic engagement.

Hakuna Upendo Bila Uhuru wa Kuchagua
There is no love without the freedom to choose. A Kitchen Table exploration of why God gave us free will and how genuine love can only exist where choice is present.

An Element of Surprise
God loves to surprise us. A Kitchen Table reflection on the unexpected ways God moves, the doors He opens that no one can shut, and the plans that exceed our imagination.

Watu Huwa Wanakuja na Mabegi Yao
People come with their own baggage. A Kitchen Table insight on understanding that everyone carries something — and how to navigate relationships with grace and boundaries.

Kazi ya Kwanza ya Mungu ni Ipi?
What is God's first work? A Kitchen Table question that reframes how we understand God's priorities — and consequently, how we should order our own.

The Best Thing You Can Do Today is to Grow
A simple but powerful reminder from the Kitchen Table: the single best investment you can make today is in your own growth. Don't let a day pass without becoming better.

Kuna Sababu Kwanini Watu Wanalipwa Kiasi Wanacholipwa
There's a reason people get paid what they get paid. A Kitchen Table truth about value, skill, and the marketplace — what you bring to the table determines what you take from it.

Maswali na Majibu — Yatafakari Haya
A Q&A session around the Yatafakari Haya project. Patrick answers questions from the community, sharing deeper insights into the themes and lessons from the book.

Yatafakari Haya — Full Interview
The complete interview from the Yatafakari Haya project. Patrick Seuya shares the vision, process, and heart behind the book and the reflections it contains.

Yatafakari Haya — Book Launch
Highlights from the Yatafakari Haya book launch on February 19, 2023. A milestone moment for Patrick Seuya and the community that supported the project.