17:19SYNCRETISM: Hatari ya Kumchanganya Mungu na Mifumo ya Dunia | Patrick Seuya
Je, inawezekana kumwabudu Mungu huku ukitegemea mifumo mingine kwa ajili ya mafanikio, ulinzi, au ustawi? Katika somo hili, Patrick Seuya anafundisha kuhusu Syncretism (mchanganyiko wa ibada ya Mungu na imani au mifumo mingine), akitumia mfano wa wana wa Israeli waliomwabudu Baali pamoja na madai ya kumfuata Mungu. Utajifunza onyo ambalo Mungu aliwapa Israeli katika Hosea na Kumbukumbu la Torati, na jinsi ujumbe huo unavyohusika kwa Wakristo wa kizazi hiki. Mafundisho haya yatakusaidia kumjua Mu