About This Message
Kazi kubwa zaidi unayohitaji kufanya ili uweze kuwa na muda wa utulivu na Mungu iko ndani ya nafsi yako. Nafsi ikinyamaza na kutulia, inatoa nafasi kwa roho yako kumsikia Mungu kwa kina na kutafakari Neno lake. Mtunga Zaburi anasema: “Hakika nimeituliza nafsi yangu na kuinyamazisha, kama mtoto aliyeachishwa kunyonya alivyo kwa mama yake; nafsi yangu ndani yangu ni kama mtoto aliyeachishwa kunyonya.” — Zaburi 131:2 (SUV) Hii ni picha yenye nguvu ya utulivu wa ndani—sio tu ukimya wa nje, bali na
By Patrick Seuya · Published May 4, 2026




