Growing Up Spiritually
A journey through spiritual maturity — from understanding priorities to cultivating stillness and deep presence with Christ.
Episodes

Growing Up Spiritually Ep. 1
The first episode of Growing Up Spiritually examines spiritual maturity through biblical examples. Patrick highlights how our priorities and daily decisions shape our spiritual development, drawing from key Scriptures to illustrate the journey from spiritual infancy to maturity.

Growing Up Spiritually Ep. 2
Episode 2 addresses the importance of stillness for spiritual growth amid life's noise and stress. In a culture of constant busyness, Patrick teaches how to cultivate inner quiet — the soil in which deep spiritual roots grow.

Growing Up Spiritually Ep. 3
"Presence Isn't Enough" — contrasting Martha and Mary, Patrick emphasizes that connection with Jesus matters more than mere attendance. It's not enough to be in the room; you must be engaged with the One who is speaking.

Growing Up Spiritually Ep.4
Katika dunia ya leo, uhusiano wa kweli hauji kwa bahati—unahitaji makusudi. Katika kipindi hiki cha podcast, Patrick Seuya anazungumzia maana ya “Connection Requires Intentionality”—kwamba kuwa karibu na Mungu peke yake haitoshi; kile kinachobadilisha maisha ni uhusiano wa makusudi unaojengwa kwa nia, umakini na kujitoa. Utajifunza: • Kwa nini uwepo pekee hautoshi bila connection • Jinsi ya kujenga mahusiano na Mungu yenye maana na ya kudumu. • Hatua za vitendo za kuwa na uhusiano ulio hai

Growing Up Spiritually Ep. 5
Katika ujumbe huu wenye nguvu, Patrick Seuya anaongelea kitu ambacho wengi wetu tunapitia bila hata kugundua — kupoteza uwezo wa kuwa present na kupungua kwa attention span, hasa kutokana na matumizi ya social media. Kutoka kwenye distractions za kila siku hadi athari zake kwenye maisha ya kiroho, ujumbe huu unakuchallenge ujiulize: *Unasikiliza kweli? Au una-scan tu?* Anatoa mfano wa jinsi watu walivyokuwa wakimsikiliza Yesu kwa muda mrefu bila kuchoka, na kulinganisha na hali ya sasa ambapo

Growing Up Spiritually EP06
Kazi kubwa zaidi unayohitaji kufanya ili uweze kuwa na muda wa utulivu na Mungu iko ndani ya nafsi yako. Nafsi ikinyamaza na kutulia, inatoa nafasi kwa roho yako kumsikia Mungu kwa kina na kutafakari Neno lake. Mtunga Zaburi anasema: “Hakika nimeituliza nafsi yangu na kuinyamazisha, kama mtoto aliyeachishwa kunyonya alivyo kwa mama yake; nafsi yangu ndani yangu ni kama mtoto aliyeachishwa kunyonya.” — Zaburi 131:2 (SUV) Hii ni picha yenye nguvu ya utulivu wa ndani—sio tu ukimya wa nje, bali na

Growing Up Spiritually Ep. 7
Katika somo hili tunajifunza nguvu ya kutafakari Neno la Mungu na namna meditation ya kiroho inavyoweza kubadilisha mawazo, hisia, na maisha ya mtu. Tunagundua jinsi muda wa utulivu mbele za Mungu unavyojenga focus, amani, na ukaribu wa kweli na Mungu. --- 🔗 **FOLLOW PATRICK SEUYA** Instagram: 👉 [Instagram](https://www.instagram.com/patrickseuya?igsh=YWZrejkxcXd5NHlp&utm_source=chatgpt.com) TikTok: 👉 [TikTok](https://www.tiktok.com/@patrickseuya?_r=1&_t=ZM-91GVZMqDkCJ&utm_source=chatgpt.c

Growing Up Spiritually Ep 08
Katika video hii, Patrick Seuya anafundisha nguvu ya meditation ya Neno la Mungu na jinsi mazingira, mawazo, na kile tunachokitafakari vinaweza kubadilisha maisha yetu. Kupitia mifano ya maisha yake binafsi, familia yake, na watu waliomzunguka, utaelewa jinsi scripture meditation inavyoleta progress, perspective, na transformation ya kweli katika maisha ya kila siku. ⏱️ CHAPTERS 00:00 Intro 00:27 Scripture Meditation (One of My Secrets) 02:06 Mfano Kutoka Kwa Baba Yangu 02:59 Mimi na Mke Wangu

Growing Up Spiritually Ep 09

What should a young couple expect?

What should a young couple expect

Kuwa Mkristo wa miaka mingi haitoshi

ARE YOU A SECOND OR THIRD GENERATION CHRISTIAN? THIS IS FOR YOU
Being a third or fourth generation Christian can be an advantage and the best thing to do with your advantages in life is to use them. #Hungryforspiritualgrowth #Shaukuyakukuakiroho #Patanakalayakosasa Patrick Seuya.

SHAUKU YA KUKUA KIROHO CASFETA TAYOMI UDSM

Spiritual Growth EP01

TRUE GROWTH IS HOLISTIC AND PROPORTIONAL

Spiritual Growth EP04

Spiritual Growth - EP05

KUJENGA UHUSIANO NA MUNGU KUNAHITAJI MUDA

Hungry for Spiritual Growth Book Review & Launch Patrick Seuya
HUNGRY FOR SPIRITUAL GROWTH (Shauku ya Kukua Kiroho) | Book Review & Launch | Patrick Seuya Kuna milango haitafunguka ukiifikia; itafunguka ukikua. Kuna fursa ambazo hazitakuja kwa sababu unazihitaji; zitavutwa na kiwango chako cha ukuaji. Kuna namna ya kuona mambo ambayo haitakuja na umri; itakuja na kiwango chako cha ukuaji. Ukuaji wa kiroho si chaguo kwa Mkristo—ni wajibu. Mungu hajatuita tubaki watoto kiroho, bali tukue hadi kufanana na Kristo. Katika video hii, ninakukaribisha kwenye Boo

