About This Message
Uhalisia wa Kuwa Kiumbe Kipya Ndani ya Kristo Wokovu si nadharia, wala si jina la Ukristo tunalolibeba. Wokovu ni uhalisia wa maisha mapya ndani ya Kristo. Katika ujumbe huu, tunatafakari maana ya kuwa kiumbe kipya ndani ya Kristo na jinsi wokovu wa kweli unavyopaswa kuonekana katika maisha ya mtu aliyemwamini Yesu. Kristo tunayembeba ndani yetu anapaswa kuonekana kupitia tabia zetu, maamuzi yetu, mwenendo wetu na namna tunavyowahusiana na wengine. Maisha yetu yanapaswa kuwa ushuhuda hai kwam
By Patrick Seuya · Published August 26, 2026




